Mambo 11 Aliyoyapinga Baba wa Taifa Hayati Mwl. JK. Nyerere
Mwalimu Nyerere ni Rais wa kwanza na ni muasisi aliyeliletea taifa hili uhuru wa kweli toka katika makucha ya mkoloni 9 December, 1961.
Mwalimu Nyerere alizaliwa April 13, 1922 katika kijiji kidogo cha mwitongo huko Butihama, kasikazini mwa Tanzania karibu kabisa na ziwa Victoria.
Alikuwa ni mototo wa chifu Burito Nyerere wa kabila dogo la wazanaki
Nyerere alifariki dunia kwa ugonjwa wa kansa ya damu, siku ya Alhamisi Oktoba 14, 1999 saa 4:30 asubuhi (kwa saa za Afrika Mashariki), katika hospitali ya Mtakatifu Thomas London, Uingereza akiwa amezungukwa na timu ya madaktari bingwa.
Ndipo wananchi wote tulipigwa na butwaa kwa kumpoteza kiongozi mwenye msimamo thabiti na busara duniani.
Mambo 11 aliyoyapinga baba wa taifa.
1. Ujinga
2. Ubinafsi Na Ufisadi
3. Ubepari
4. Ukabila Na Usehemu
5. Ubinafsishaji Holela Wa Mali Za Umma
6. Kuongozwa Kwa Rimoti Na Nchi Matajiri
7. Ubabe Na Vitisho Katika Uongozi
8. Umangimeza Na Ukiritimba
9. Usiri Wa Mikataba Na Makampuni Ya Kigeni
10. Rushwa
11. Uchu Wa Madaraka
Mambo 11 Aliyoyapinga Baba wa Taifa Hayati Mwl. JK. Nyerere
Reviewed by Unknown
on
21:31:00
Rating:
Hakuna maoni: