AY Afunguka kuhusu msanii mwenzake wa East Coast Team kutumia madawa ya kulevya


Wiki hii nzima habari iliyomake headline ni kuhusu ishu ya madawa ya kulevya ambapo wasanii mbalimbali pamoja na watu wengine wamefikishwa polisi na wengine mahakamani kutokana na madawa ya kulevya.


Baada ya kuibuka kwa swala hili tumekuja kugundua kua kumbe kuna wasanii wengi wamehusishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya. Msanii AY alipoulizwa kuhusiana na mmoja wa wasanii ambao walikua wakiunda kundi la East Cost Team kua ni mtumiaji wa madawa ya kulevya alifunguka haya.. Unaweza tazama video nzima hapa chini
AY Afunguka kuhusu msanii mwenzake wa East Coast Team kutumia madawa ya kulevya AY Afunguka kuhusu msanii mwenzake wa East Coast Team kutumia madawa ya kulevya Reviewed by Unknown on 08:57:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.