Dj aliyeshika kalio la Taylor Swift bila ruhusu akimbilia mahakamani kujitetea…
Hii hapo chini ni picha ambaye pop staa Taylor Swift aliomba mahakama isitoe hadharani kutokana na kuogopa kesi yake dhidi ya Dj David Mueller itakosa nguvu.
Awali Taylor Swift alifungua kesi dhidi ya Dj huyu akidai amedhalilishwa kwa kushikwa makalio na Dj huyu mbele za watu na bila ruhusa yake.
Inasemekana Taylor anajua picha hii haina ushahidi a kutosha na inaweza fanya kesi yake ikakosa nguvu kabisa.
DJ David Mueller amekanusha tuhuma hizi za kushika kalio la Taylor na ameenda mahakamani kufungua kesi dhidi yake sababu skendo hii ilimfanya afukuzwa kazi yake na sasa hana kazi.
Dj aliyeshika kalio la Taylor Swift bila ruhusu akimbilia mahakamani kujitetea…
Reviewed by Unknown
on
21:20:00
Rating:
Hakuna maoni: