Picha,Wema Sepetu kwenye redcarpet ya miss Tanzania 2016.

Hizi ni baadhi ya picha kutoka Miss Tanzania 2016, miongoni mwa mastaa waliohudhuria ni Wema Sepetu, hizi picha zake tatu kwenye Red Carpet, Looking Beautiful as Always.
Kwenye mashindano haya ya urembo alitangazwa mshindi Diana Edward Lukumaiambaye ni Miss Kinondoni 2016.
wema-1 wema-2 wema-3

Picha,Wema Sepetu kwenye redcarpet ya miss Tanzania 2016. Picha,Wema Sepetu kwenye redcarpet ya miss Tanzania 2016. Reviewed by Unknown on 10:05:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.