Jumatano, 26 Julai 2017

Ajinyonga Baada ya Kugundua Mkewe Anashiriki Mapenzi ya Jinsia Moja


Mwanaume Mmoja Nchi Kenya amejinyonga  hadi kufariki kutokana na kugundua mke wake anashiriki mapenzi ya Jinsia moja (Usagaji).

inadaiwa kuwa Mwanamke huyo alitoroka nyumbani kwake kwenda kwa Mwanamke anayeshiriki naye mapenzi hayo ya Usagaji.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni