Filamu ya maisha ya msanii wa hiphop 2 Pac ‘All Ayez On Me’ imetoka na tayari pamekuwa na mrejesho mbaya kutoka kwa watu maarufu waliotazama filamu hii.
Filamu hii iliyoigizwa na Demetrius Shipp Jr. kama 2 Pac imeanza kuonyeshwa June 16, 2017 na rapa 50 Cent anasema sio filamu bora kabisa.
50 Cent aliandika instagram “Man I watched the 2 PAC film, that was some bullshit. Catch that shit on a fire stick
trust me. LOL SMH TRASH”
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni