Hiki ndio Kilichomtia Uchizi Jini Kabula.....Mpaka Kudai yeye ni Ndugu na Rihanna

Msanii wa muziki Issabela Mpanda ambaye ni rafiki wa Karibu wa Mariam Jorwa au jini Kabula ambaye hivi karibuni amepata matatizo ya kurukwa na akili, ameweka wazi kilichomsababishia shoga yake huyo kuchanganyikiwa.


Akizungumza na mwandishi wetu, Issabela amesema daktari ambaye anamtibia Kabula amesema kuwa rafiki yao alikuwa na msongo wa mawazo, lakini kwa sasa yuko sawa.


Pia Issabela ameweka wazi kile ambacho Watanzania wengi walikuwa hawakifahamu kuhusu ugonjwa na matibabu ya Kabula, na kuhusu mtu ambaye amekamatwa kwa kufanya tukio la uhalifu au uvunjaji wa sheria juu ya Kabula.
Hiki ndio Kilichomtia Uchizi Jini Kabula.....Mpaka Kudai yeye ni Ndugu na Rihanna Hiki ndio Kilichomtia Uchizi Jini Kabula.....Mpaka Kudai yeye ni Ndugu na Rihanna Reviewed by Unknown on 23:27:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.