Ajinyonga Baada ya Kugundua Mkewe Anashiriki Mapenzi ya Jinsia Moja


Mwanaume Mmoja Nchi Kenya amejinyonga  hadi kufariki kutokana na kugundua mke wake anashiriki mapenzi ya Jinsia moja (Usagaji).

inadaiwa kuwa Mwanamke huyo alitoroka nyumbani kwake kwenda kwa Mwanamke anayeshiriki naye mapenzi hayo ya Usagaji.
Ajinyonga Baada ya Kugundua Mkewe Anashiriki Mapenzi ya Jinsia Moja Ajinyonga Baada ya Kugundua Mkewe Anashiriki Mapenzi ya Jinsia Moja Reviewed by Unknown on 07:44:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.