RayVanny afanya colabo na staa wa muziki Marekani Jason Derulo..


WCB Super Star RayVanny amefanya wimbo na RnB Star kutoka Marekani Jason Derulo. Wasanii hawa wamerekodi ngoma mpya kwenye nyumba ya Jason mjini Los Angeles, Nchini Marekani.
RayVanny ambaye ni mshindi wa tuzo ya BET Viewer’s Choice Best New International Act 2017 alikutana na Jason Derulo kwa mara ya kwanza kwenye kazi za Coke Studio nchini Kenya.
RayVanny afanya colabo na staa wa muziki Marekani Jason Derulo.. RayVanny afanya colabo na staa wa muziki Marekani Jason Derulo.. Reviewed by Unknown on 05:42:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.