HEBU TAZAMA PICHA MAWAZIRI WA SUDAN KUSINI WANAVYOVAA


Kulia ni Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji huko Sudan Kusini bwana MABIOR GARANG (aliyevaa viatu vyeupe).Katikati ni Waziri wa Ulinzi aliyevaa kandambili na utepe mwekundu begani,

Kushoto ni Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, aliyeshika kirungu nje ya ukumbi wa Bunge mjini Juba Sudan Kusini.
HEBU TAZAMA PICHA MAWAZIRI WA SUDAN KUSINI WANAVYOVAA HEBU TAZAMA PICHA MAWAZIRI WA SUDAN KUSINI WANAVYOVAA Reviewed by Unknown on 13:14:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.