SEE THIS TANZANIAN HOMOSEXUAL WHO WISHES TO GET PREGNANT..


Sijui nianzaje ila dunia imeisha, Zamaradi anamuhoji shoga anaitwa Kaoge, Pamoja ni ngumu kuaangalia ila kunafunzo la kujifunza kwa kinji watoto wetu wa kiume tunavoweza kuwalea watoto wetu. 
 Mashoga wanaongezeka kwa kua waaribifu ni wengi na wengi ni watu wazito. Shoga anatamani kuzaa anataka kupandikiza na yupo kwenye harakati za kubeba mimba 
 Alikua anaitwa mwanamke tangu mdogo na baba yake na mitaani alikua anaitwa gody ka demu, Kiukweli wanaume tusifumbie macho ili swala malezi ya karibu zaidi tangu utoto ndio tunaweza kupiga vita USHOGA. Na si matusi kipigo na unyanyapaaji
SEE THIS TANZANIAN HOMOSEXUAL WHO WISHES TO GET PREGNANT.. SEE THIS TANZANIAN HOMOSEXUAL WHO WISHES TO GET PREGNANT.. Reviewed by Unknown on 06:48:00 Rating: 5

Hakuna maoni:

Facebook

klin zepp. Inaendeshwa na Blogger.