Jumanne, 14 Februari 2017
Picha,Mapenzi moto moto kati ya Ciara na hubby wake Russell Wilson
#Trending kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii mbele ni picha za staa wa Rnb Ciara na mume wake Russell Wilson wakiwa nje kwaajili ya matembezi usiku wa jumamosi hii.
Ciara anategemea kupata mtoto wa pili na wa kwanza na Russell ambaye amekuwa akiongelewa kama mume bora kwa staa huyu tofauti na mchumba wake wa zamani Future ambaye walipata mtoto mmoja.
Beef ya Jay Z na Drake inaendelea….Full Stori…..
Hottest hiphop beef kati ya Jay Z na Drake inaendelea kwenye rekodi mpya ya DJ Khaled ,Jay Z na BeyoncĂ© ‘Shining’ kutoka kwenye album mpya ya Khaled #Grateful.
Mashairi ya Jay Z yanasema “I know y’all ain’t talkin’ numbers, right?,I know y’all ain’t talkin’ summers, right? / I know you ain’t walkin’ ’round talkin’ down / Sayin’ boss shit when you a runner, right?”
Maneno hayo ni jibu la diss aliyotoa Drake kwenye wimbo wake wa “Summer Sixteen” aliposema kuhusu Jay Z kuwepo kwanza kwenye Roc A Fella kabla ya kuwa na lebo yake ya Roc Nation il sasa sababu anapesa ana waonea wasanii wachanga.
Jay Z alijibu mstari huo kwenye wimbo wa Dj Khaled “I Got the Keys.” kwa kusema “‘Til you own your own you can’t be free, Til you’re on your own, you can’t be me.” kitu ambacho kilipelekea Drake kuongeza nguvu kwenye lebo yake ya OVO na kumsajili 21 Savage.
Drake akajibu mstari huo kwenye wimbo wa 21 Savage “Sneakin’,” kwa kusema “You ain’t own it right away, you had to wait on ni**as, Man, I’m only 29, have some patience with us.”
Na sasa Jay Z kajibu tena kwenye “Shining” nakusema “21 Grammys, I’m a savage ni**a, 21 Grammys, I’m a savage ni**a / I shouldn’t even worry, backwards ni**as / 12 solo albums, all platinum, ni**a.”
Jay Z na Drake waliwahi kusikika kwenye nyimbo kama “Light Up,” “Pound Cake / Paris Morton Music 2,” na “Know Bout Me.”
Beef itakuwa na muendelezo ikiwa Drake anaelekea kutoa album mpya More Life na Jay z pia anarekodi kwa siri album mpya ambayo itakuwa ya kwanza toka mwaka 2013 alipotoa Magna Carta Holy Grail.
Mshauri wa Rais Donald Trump Ajiuzulu,Sababu ni Hii hapa

Bw Flynn anadaiwa kujadili vikwazo vya Marekani dhidi ya Urusi akiwa na balozi wa Urusi kabla ya Rais Donald Trump kuingia madarakani.
Anadaiwa kuwapotosha maafisa wa utawala huo mpya kuhusu mazungumzo yake na balozi huyo.
Awali, vyombo vya habari Marekani viliripoti kwamba Wizara ya Haki ilitahadharisha ikulu ya White House mapema kuhusu mawasiliano ya Flynn na maafisa wa Urusi mwishoni mwa mwezi uliopita.
Walisema Bw Flynn huenda akashurutishwa kuwa kibaraka wa urusi.
Maafisa wakuu wa chama cha Democratic walikuwa wametoa wito kwa Bw Flynn kuachishwa kazi.
Mashirika ya habari ya Associated Press na Washington Post yanasema wizara ya haki Marekani ilitahadharisha kuhusu kile ilichosema ni mambo aliyoyasema Bw Flynn kuhusu mazungumzo yake na balozi wa Urusi.
Ni kinyume cha sheria kwa raia wa kawaida kujihusisha na shughuli za kidiplomasia Marekani.
Mazungumzo kati ya Flynn na balozi wa Urusi yanadaiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka jana, kabla ya Bw Flynn kuteuliwa kuhudumu katika uatawala wa Bw Trump.
Bw Flynn, ni luteni jenerali mstaafu.
Awali alikana kuzungumza kuhusu vikwazo dhidi ya Urusi na balozi huyo, na Makamu wa Rais Mike Pence pia alijitokeza hadharani kumtetea.
Bw Flynn baadaye aliambia maafisa wa White House kwamba kuna uwezekano yeye na balozi huyo walizungumzia vikwazo hivyo.
Gazeti la Washington Post lilisema Kaimu Mwanasheria Mkuu Sally Yates aliambia White House kwamba mshauri wao mkuu wa usalama wa taifa "alijiweka katika hali ya hatari" kwa kuzungumza na Warusi kabla yake kuruhusiwa kisheria kufanya hivyo na kwamba Wizara ya Haki ilifahamu kwamba alimpotosha Bw Pence.
Mwezi uliopita, Bi Yates alifutwa kazi na Bw Trump kwa kukataa kutetea marufuku yake dhidi ya raia wa mataifa saba yenye Waislamu wengi kuruhusiwa kuingia Marekani.
Jumapili, 12 Februari 2017
HEBU CHECK DIET YA ZARI THE BOSS LADY,NI NOMAA

You will grow, change and evolve. And sometimes it will hurt because progress is painful but beautiful. When you fall remember to stand back up, dust yourself off and get back to business.

Jumamosi, 11 Februari 2017
ONA HUYU MWANAMKE ALIYEPOTEZA NYETI ZAKE MARA BAADA YA KUFAMANIWA NA MUME WA MTU HUKO BUKOBA.
Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya Kufumaniwa na mwanaume katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe alitoweka na pesa za mwanaume huyo ambae inasemekana ni mkazi wa kigoma,baada ya muda mama huyu
panda mama tukifika huko tutajua zipo au zimetoweka...
majanga jamani ...mama alipoteza sehemu za siri akipelekwa polisi
ANGALIA PICHA ZA MTOTO ALIYEZALIWA AKIWA NA NYWELE MWILI MZIMA

Mother's love: Savita Sambhaji Raut, 26, holds her 21-day-old baby daughter, who was born with a rare genetic condition called Werewolf Syndrome

This little baby girl is the latest addition to the Werewolf family who have a rare genetic disorder which means they are covered in hair

Happy family: Werewolf Sisters, left to right, Savitri Sambhaji Raut, 17, Savita Sambhaji Raut, 26, Laxmi Sambhaji Raut, 15, and Manisha Sambhaji Raut, 19, gather around newborn baby, foreground

Unconditional love: Anita Sambhaji Raut, 45, mother of the werewolf sisters holds on to her grand daughter who is also born with lots of hair on her body

Snooze: Fast asleep, the 22-day-old Werewolf baby girl, who is yet to be named by her parents, catches some shuteye at her home in Maharashtra, India
Covered head to toe in hair, this newborn baby is the latest addition to the aptly named Werewolf family.
The 22-day-old baby inherited a rare gene carried in her family which leads to a disorder known as Werewolf Syndrome.
Her mother Savita Sambhaji Raut, 26, said she feared for her daughter's future after she inherited the condition but accepted her fate.
And she said it did not matter what her child looked like, she would love her unconditionally.
Speaking from her home in Madhavnagar, central India, she said: 'I was so happy to have her alive, but it upsets me.'
She added: 'I am scared for her future but God has chosen us to be like this.
'I am her mother so I have to accept her and get on with life.'
Her daughter, who is yet to be named, is one of only a few hundred people in the world to be born with Werewolf Syndrome.
There is no cure to the condition, otherwise known as hypertrichosis.
But this makes no difference to the tot's father Milind who said he just overjoyed to have a daughter.
The two distinct types of hypertrichosis are generalized hypertrichosis, which occurs over the entire body, and localized hypertrichosis, which is restricted to a certain area.
Hypertrichosis can be either congenital, which is present from birth, or acquired later in life.
The excess growth of hair occurs in areas of the skin with the exception of androgen-dependent hair of the pubic area, face, and axillary regions
Alhamisi, 9 Februari 2017
Walimu wakatwa Mapanga na watu wasiojulikana Musoma

Walimu wawili wa shule ya msingi ya Kwibara ‘B’ katika Halmashauri ya Musoma vijijini mkoani Mara,wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara mjini Musoma baada ya kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana baada ya kuwavamia nyumbani kwao wakiwa wamelala.
Wakizungumza baada ya kufikishwa katika Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara,walimu hao wamesema walikatwa mapanga hayo baada ya milango yao kuvunjwa kisha kupambana na watu hao kabla ya kuanza kuwashambulia kwa mapanga huku mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo Bw Swedy Elias,akisema tukio hilo limetokea majira ya saa saba usiku.
Mkuu wa Polisi wa wilaya ya Musoma SSP Renatus Chalya,akizungumza na wananchi wa kijiji hicho baada ya tukio hilo kutokea,pamoja na kulaani vikali vitendo hivyo vya uvamizi dhidi ya watumishi wa umma,amesema Jeshi la polisi litachukua hatuka kali katika kukomesha vitendo hivyo.
Dawa Nyingine za kulevya zakamatwa Mabwepande

Watu 4 wamekamatwa na misokoto 16 ya bangi ambapo nyingine ikiwa imesagwa na nyingine ikiwa imevunwa nyumbani kwa Bi Hadija Mwinyi Mkuu kufuatia msako wa nyumba kwa nyumba uliousisha jeshi la polisi na viongozi kata ya Mabwepande na kata ya Bunju manispaa ya Kinondoni jijini Dar-es-Salaam.
Msako huo umekuja baada ya serikali kupiga vita na kupambana na wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya,uvutaji unga na bangi huku wakifanikiwa kukamata watu 4 ambao wamekutwa na bangi na vitu mbali mbali na mmoja kufanikiwa kukimbia ambapo wenyeviti wa serikali za mitaa katika kata hizo wakiomba wananchi kutoa ushirikiano ili kuwafichua na kukomesha biashara hizo.
Diwani wa kata ya Bunju Bw. Heri Nasoro amesema wameadhimia kufanya msako huo kila siku kwa kushirikiana na jeshi la polisi ili kuondoa kabisa mlipuko wa vijana wengi katika kata na mitaa Bunju walioathirika na madawa haya ambapo wananchi wamepongeza juhudi zinazofanywa na serikali ili kuokoa vijana wengi wanaojiusisha na biashara hiyo.
Auawa Kwa kukatwakatwa Mapanga Wilayani Songea

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Severin Mgogo mwenye umri wa miaka 80 ameuwawa kwa kukatwa katwa na mapanga na mmoja Antony Ndauka kujeruhiwa vibaya na watu wasiofahamika wakituhumiwa kuwa washirikina tukio hilo limefanyika hivi karibuni katika kijiji cha Nakahegwa wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Gofrey Nilahi anataarifa Zaidi.
Afisa tarafa ya Mhukuru Salma Mapunda amesema kuwa kabla ya tukio hilo la kinyama watu hao waliwahi kuzingirwa nyumbani kwao hali iliyomlazimu mtendaji wa kijiji cha Nakahegwa kukodi pikipiki na kuwapakiza wote wawili usiku wakiongozwa na mgambo wa kijiji kuwapeleka kituo kidogo cha polisi kata ya Magagula kabla ya kufika kundi la watu wakiwa na mapanga waliwavamia na kuanza kuwapiga ambapo Mzee severin Mgogo alipoteza maisha na Antony hali yake ni mbay yupo hospitali ya misheni Peramiho.
Mkuu wa wilaya ya Songea Pololeti Mgema ametembelea kijijini hapo na kufanya mkutano wa hadhara amemwagiza mkuu wa kituo cha polisi kuwakamata viongozi wa kijiji mwenyekiti na kamati yake hatimaye hatua za kisheria zichukuliwe kwa kosa la kushindwa kutatua tatizo hilo kwa wakati.
Mtoto wa marehemu John Mgogo ameiomba serikali kuchukua za haraka za kuwasaka waliofanya tukio hilo.
Jumatano, 8 Februari 2017
Baada ya kutajwa katika Listi ya RC Makonda Askofu Gwajima Ajibu tuhuma zake kwa ujumbe huu ..!!!

Saa chache baada ya kutakiwa kufika polisi na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa kutoa taarifa juu ya madawa ya kulevya,Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Josephat Gwajima Amepost Ujumbe picha huu
Rasmi...Dj Majizzo na Bosi wa Radio ya EFM Amekamatwa na Polisi kwa Tuhuma za Madawa ya Kulevya,Makonda Amethibitisha..!!!

Kwenye mkutano kati ya RC Makonda na waandishi wa habari aliulizwa swali kama ni kweli Majizzo(C.E.O wa E-FM/TV-E)? Mh Makonda alijibu ni kweli anashikiliwa kwa mahojiano.
Taarifa ni kwamba Dj Majizzo alikamatwa juzi nyumbani kwake na kupekwa kituo cha kati kwa mahojiano.
Kwa wale wasio mfahamu vyema Majizzo ni yule kijana anaye miliki kituo cha E Fm cha Jijini Dar Es Salaam
Habari Picha..,Hivi Ndivyo Obama Alivyokuwa Akijirusha Baharini na Rafiki Yake

Rais Barack Obama akiwa mapumzikoni na rafiki yake, Richard Branson baada ya kumaliza miaka minane ya utumishi kama Rais wa Marekani.



Jumanne, 7 Februari 2017
Mtoto wa 50 Cent asema anamkubali Ja Rule zaidi kuliko…..
Akielekea kutoka Mixtape yake mpya mtoto wa kiume wa rapa 50 Cent Marquise Jackson ’20’ ameongelea msanii gani anamuamini zaidi na amekuwa akimsikiliza kwa muda mrefu.
Marquise Jackson anasema amekuwa akiwasikiliza wasanii kama Drake, Lil Wayne, Bryson Tiller ila misingi yake haswa imeanza wakati anamsikiliza Ja Rule ndio msanii wa kwanza kuimba na kurap kwa wakati mmoja, aliimba vitu ambavyo tunaona kwa sasa na ambavyo havipo kwenye vitabu vya historia”
Feb 6 ilikuwa siku ambayo album ya Get Rich or Die Tryin inatimiza miaka 14 naMarquise Jackson akatoa wimbo wa kwanza kutoka kwenye mixtape yake iliyopewa jina ‘Escape‘.
Baada ya kumpiga ngumi askari,hii ndio adhabu aliyopewa rapa The Game….
The Game amepata adhabu ya kosa alilofanya mwaka 2015 la kumpiga ngumi ya uso askari wakati wa mpira wa kikapu mjini Los Angeles.
The Game amekwepa adhabu ya kifungo cha siku 120 kwa kukubali kosa na kuamrishwa kufanya kazi za jamii siku 120 ,kuhudhuria darasa la hasira mara 26na kuwa chini ya uangalizi kwa miaka mitatu.
December 2015 askari Onyebuchi Awaji,alifungua kesi ya madai dhidi ya The Game akitaka kulipwa dola $100,000 na kushinda kesi hio sababu The Game hakuwepo mahakamani.
mtoto wa Beyonce na Jay Z kutambulisha manukato na dawa za nywele zenye jina lake.
Akiwa na umri wa miaka mitano, mtoto wa Beyonce na Jay Z#BlueIvyCarter anategemea kutambulisha rasmi manukato na dawa za nywele zenye jina lake.
Kampuni ya Beyonce imesajili bidha za mtoto huyo kwa jina la #BabyBlue na baada bidha nyingine kama nguo, simu na michezo zinakuja kutoka kwake.
Hivi karibuni Beyonce na Jay Z walitangaza kuwa wanategemea kupata watoto mapacha.