Jumatatu, 31 Oktoba 2016

Huu ni ujumbe wa Francis Cheka baada ya taarifa za kifo cha Thomas Mashali

Wiki hii imeanza kwa huzuni kwa mashabiki wa mchezo wa ngumi nchini baada ya kifo cha bondia Thomas Mashali hasa baada ya kusikia taarifa za chanzo cha kifo hicho. Mmoja wa watu walioumizwa na taarifa hizo ni Francis Cheka.
14719663_1520067368007074_7543799241525690368_n
Kupitia mtandao wa Instagram, Cheka ameandika:

Ilikuwa ni heshima kuingia ulingo mmoja na wewe ndugu yangu Thomas Mashari,
tulipanga tukutane tena 26/11, kweli hakuna aijuae kesho…
ila Mungu tu…
Ulale mahali pema peponi ndugu yangu, Mungu akutangulie…
We unatangulia si tunafuata,
Kila nafsi itaonja mauti…
Jina la Bwana lihimidiwe.
Wawili hao walikuwa ni wapinzani kwenye mchezo huo na wamefanikiwa kucheza mapambano kadhaa lakini Cheka amefanikiwa kuibuka mshindi kwenye mapambano mengi zaidi.

ASKARI POLISI AZUA GUMZO KUMPIGIA SALUTI PROFESA LIPUMBA


Kitendo cha askari polisi kumpigia saluti Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa, Profesa Ibrahim Lipumba imezua gumzo la kuhoji uhalali wake. 


Askari huyo alionekana juzi akimpigia saluti Profesa Lipumba katika eneo la Buguruni ambapo mwanasiasa huyo alienda kushiriki zoezi la usafi. 


Kamanda wa Polisi mkoa wa Ilala, Salum Hamduni alipoulizwa kuhusu usahihi wa askari polisi kuwapigia saluti viongozi wa vyama vya siasa wasio wabunge alijibu kwa ufupi, “sio sawa.” 


Kwa mujibu wa Kanuni za Jeshi la Polisi (PGO) namba 102, haiwataji viongozi wa vyama vya siasa wasio wabunge kati ya watu wanaopaswa kupewa salamu hiyo ya jeshi yenye kuonesha heshima. 


Aliyekuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Kapteni John Chiligati aliwahi kueleza Bungeni kuwa saluti ni ishara ya kuonesha heshima kwa kiongozi mkuu kwenye asasi za kijeshi. 


Kapteni Chiligati alisema kuwa mbali na viongozi wa kijeshi, viongozi wengine wanaopaswa kupewa saluti ni wa mihimili ya Serikali, Bunge na Mahakama. 


Wengine ni majaji wote, wabunge, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na mahakimu wa mikoa na wilaya wakiwa kwenye mahakama zao. 


Katibu Mkuu wa Chama Cha CCK, Renatus Muabhi alisema kuwa huenda askari huyo alipiga saluti kwa kupaniki kutokana na maagizo aliyopewa ya kumlinda Profesa Lipumba katika zoezi hilo.

Picha,Aliyeharibu vibaya nyota ya Donald Trump ya Walk of Fame kushtakiwa.

Polisi wa mjini LA wamesema mtuhumiwa aliyeharibu nyota ya #HollywoodWalkOfFame ya Donald Trump atafunguliwa mashtaka.
Polisi wanasema ni vizuri mwanasheria wa serikali akamfungulia mashtaka jamaa huyu anayefahamika kama James Otis kwa kuvunja nyota ya #HollywoodWalkOfFame ya Donald Trump .
Otis anasema uharibifu huo aliofanya kama njia ya kupinga kampeni ya Trump. Otis anaweza kufungwa miaka mitatu jela kama atakutwa na hatia.
1026-donald-trump-star-tmz-getty-4 trump-2

Suge Knight amburuza mahakamani Dr Dre, ni kesi ya njama za mauwaji….

Producer mkongwe duniani Dr. Dre amejikuta akikabiliana na kesi ya kupanga njama za mauwaji na producer na mdau mkubwa wa muziki duniani Suge Knight,
Suge Knight anasema alikuwa na mkataba wa kusimamia kazi za Dr Dre wa maisha na kuna kiasi alibidi alipwe kutoka kwenye mapato ya Beats By Dre.
Suge anasema mkataba huu unamtaka Dr Dre ampe asilimia 30% ya mapato ya burudani kutoka kwa Dr Dre.
Dre alimlipa muuwaji ili afanye kazi yake kwenye club ya 1 OAK wakati wa tuzo za VMA mwaka 2014, Suge alipigwa risasi mara 7 tumboni.
Polisi walimhoji mtu anayefahamika kama T-Money na aliwaaambia wapelelezi kuwa alilipwa na Dr Dre kumuuwa Suge. Suge anasema palikuwa na camera 37 kwenye 1 OAK, ila hakuna aliyekamatwa.
Suge amefungua kesi dhidi ya Dre, Apple, Universal na Tam akidai malipo ambayo hayaja tajwa, pia Suge anataka asilimia 30 ya faida kutoka Beats By Dre.
Dr Dre kwa sasa anamiliki zaidi ya dola bilioni moja na Suge anataka dola milioni 300

Jumapili, 30 Oktoba 2016

VIDEO QUEEN LULU AFUNGUKA ALIVYOGAWA PENZI KISA PESA


MUUZA sura kwenye video za Kibongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva,’ amefunguka kuwa katika maisha yake hata siku moja hawezi kusahau jinsi alivyolazimika kugawa penzi kwa mzee, kisa pesa za kumtibisha mama yake mzazi ambaye alikuwa anaumwa hoi!
Lulu aliongeza kuwa wakati akifanya tukio hilo alikuwa ni msichana mwenye umri wa miaka 18, ambaye hakuwa na kazi na ilihita kiasi cha shilingi milioni moja na nusu kwa ajili ya kulipia ghalama za matibabu ya mama yake, pesa ambazo kama familia walikuwa hawana uwezo wa kuzipata.
“Unajua mimi nyumbani nimezaliwa mwenyewe, baba alifariki kitambo nikiwa mdogo na sina kaka wala dada, sasa mama yangu alipokuwa anaumwa wakati huo, kuna mzee mmoja mwenye uwezo tu nilikwenda kumuomba msaada ili anipe pesa nimpeleke mama hospitali, baada ya kumlilia shida alikataa kunisaidia bila kufanya naye mapenzi.
“Kwa kuwa nilikuwa ninashida ilibidi kukubali ili tu mama yangu apate matibabu lakini kiukweli, tukio hilo mpaka leo halijafutika akilini mwangu!” alimaliza Lulu Diva.

KAKA AMPASUA KICHWA KWA PANGA MDOGO WAKE WAKIGOMBANIA FEDHA




MKAZI wa kijiji cha Ntalamila kata ya Miyula wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Baraka Kaengele (23) ameuawa kikatili na kaka yake wa tumbo moja, Edward Kaengele (25) kwa kumshambulia na kumpasua kichwa kwa panga na ubongo kutokeza nje. 


Inadaiwa wanandugu hao walihitilafiana wakati wakigawana fedha, walizolipwa baada ya kumaliza kufanya kazi za vibarua shambani. 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, George Kyando alidai tukio hilo lilitokea Oktoba 27, mwaka huu saa mbili na nusu usiku katika kijiji cha Ntalamila kilichopo kata ya Miyula, wilayani Nkasi. 

“Chanzo cha mauaji ni ugomvi wa kifamilia ambapo ndugu hawa wa familia moja walikuwa wakigombania fedha walizolipwa baada ya kufanya kazi za vibarua katika mashamba,” alieleza Kamanda Kyando. 

Akisimulia mkasa huo, Kamanda Kyando alisema siku hiyo ya tukio, ndugu hao walikuwa kilabuni wakinywa pombe ya kienyeji kijijini humo, ndipo ugomvi uliibuka baina yao baada ya kuhitilafiana wakati walipokuwa wakigawana fedha walizolipwa baada ya kumaliza kufanya kazi, ingawa hadi sasa kiasi hicho cha fedha hakijajulikana. 

“Baada ya kuibuka ugomvi huo, ndipo kaka wa marehemu alipompiga mdogo wake kichwani na kumpasua fuvu na kumsababishia umauti,” alieleza Kamanda Kyando na kuongeza kuwa mtuhumiwa amekamatwa na atafikishwa mahakamani baada ya upelelezi wa shauri lake kukamilika.

Imeandikwa na Peti Siyame- Habarileo Sumbawanga

Picha,Rais Barack Obama awataja wasanii watano wa HIPHOP anaowakubali zaidi.

Rais wa Marekani Barack Obama ametaja wasanii watano wa HIPHOP anaowakubali zaidi kwa sasa Nchini Marekani.
Kupitia kipindi cha Sway In The Morning, amewataja Jay Z, Chance The RapperKendrick Lamar, Drake na Kanye West.
Obama pia amesema alimjua Chance The Rapper akiwa na miaka nane tu na kwamba bado Jay Z ni Mfalme wa Hiphop.
chance-the-rapper-on-gma-aug-2016-billboard-1548
Chance The Rapper
drake-episode-1200x630
Drake
Rapper Jay-Z leaves after an NBA basketball game between the Brooklyn Nets and the Houston Rockets Monday, Jan. 12, 2015, in New York. Houston beat Brooklyn 113-99. (AP Photo/Jason DeCrow)
Jay-Z
kanye-chain
Kanye West
kendrick-lamar-bw-march-2016-billboard-650
Kendrick Lamar

Picha,Lady Gaga hana tatizo na mashabiki kuchezea mwili wake akiwa kwenye show.

Pop staa Lady Gaga ambaye kwa sasa yupo kwenye ziara tofauti akitangaza album yake mpya ameonekana kuto kerwa na mashabiki kushika na kuchezea sehemu nyeti za mwili wake kama makalio yake akiwa kwenye show.
Mashabiki a Gaga walionekana wakimbeba na kumshika msanii huyu kwenye show yake wiki iliyopita huku yeye akionekana mwenye furaha kwa jambo hilo.
Gaga alikuwa anafanya show kwenye ukumbi wa The Satellite mjini L.A.
gaga-12 gaga-13

Kanye West alivyohusika kusuka diss ya Drake kwa Kid Cudi na Pusha T.

Baada ya cover la wimbo wa Drake “Two Birds, One Stone” kutoka imefahamika kuwa Kanye West alihusiku kwa asilimia kubwa kwenye kusuka mashairi ya Drake kwenye wimbo wa “Two Birds, One Stone” ambao ni disskwa Kid Cudi na Pusha T.
Fahamu kuwa Pusha ndio rais wa lebo ya Kanye ya G.O.O.D. Music.
Hili ndio kava la Credits la wimbo wa Drake.
drake-kanye-west-two-birds-one-stone-credits

Picha,Wema Sepetu kwenye redcarpet ya miss Tanzania 2016.

Hizi ni baadhi ya picha kutoka Miss Tanzania 2016, miongoni mwa mastaa waliohudhuria ni Wema Sepetu, hizi picha zake tatu kwenye Red Carpet, Looking Beautiful as Always.
Kwenye mashindano haya ya urembo alitangazwa mshindi Diana Edward Lukumaiambaye ni Miss Kinondoni 2016.
wema-1 wema-2 wema-3

Jumamosi, 29 Oktoba 2016

MAMBO 9 USIYOYAJUA KUHUSU RAIS ROBERT MUGABE WA ZIMBABWE

Alizaliwa katika kijiji cha Kutama, kusini-magharibi mwa jiji kuu Harare, alisomeshwa na wayesuti, na baadaye akawa mwalimu kabla kujiingiza katika harakati za kupigania uhuru wa Zimbabwe.
Uwanaharakati wake ulimfanya afungwe gerezani kwa miaka 11, na baadaye mwaka 1980 akawa rais wa kwanza wa Zimbabwe.

Yafuatayo ni mambo tisa ambayo huenda hukuwa wayajua kumhusu kiongozi huyu-na ambayo huenda yamemuwezesha kuwa rais kwa muda mrefu mno.
 
Mugabe akionekana mwenye furaha mno  
1) Zoezi na vyakula vya kienyeji 

Mugabe anapenda kufanya mazoezi. “Mimi hujihisi mgonjwa wakati sijafanya mazoezi ya viuongo vya mwili,” Bw. Mugabe alisema miaka mitatu iliyopita. Huwa anaamuka kati ya saa kumi na kumi na moja alfajiri, na kutokana na jamaa zake wa karibu, husikiliza BBC idhaa ya dunia. 
Siri nyingine ya kuishi kwake kwa muda mrefu ni kuwa ywapenda sana-chakula cha kienyeji kinacholiwa sana Zimbabwe. Kisha pia, havuti sigara, ila hunywa pombe kidogo anapokula.
Mugabe akiwa na familia yake.  

2) 'Kufufuka' 

Ingawa kumekuwa na uvumi mara nyingi kuwa Mugabe hana afya nzuri, afya yake na kazi yake ya kisiasa yaendelea vyema kabisa. Kuhusu afya yake Mugabe alipohojiwa wakati mmoja alisema,“ Nimekufa mara nyingi-hapo ndipo humwelekea Yesu Kristo. Yesu alikufa mara moja, na akafufuka mara moja,” alisema alipotimia miaka 88. 



Ingawa alilelewa katika familia ya kikatoliki-mamake alikuwa mcha Mungu-alisema alipohojiwa na kituo cha habari cha Afrika Kusini, SABC, miaka michache iliyopita, kuwa yeye si Mkristo anayetumikia dini kwa sana. 



3) Shabiki mkubwa sana wa kriketi 
Kwa muda mrefu amedhihirisha hadharani mapenzi ya mchezo wa kriketi. Ni patroni wa jumuiya ya mchezo wa kriketi wa Zimbabwe, ambapo nyumba yake ipo karibu na uga wa michezo wa Harare, ambapo anaweza kutazama kwa makini wakati wa michezo wa kitaifa.
“Kriketi yafanya watu wawe wangwana, na pia inawafanya watu kuwa wema,” Bw. Mugabe alisema miaka kadhaa baada ya Zimbabwe kujinyakulia uhuru. “Nataka kila mtu acheze kriketi Zimbabwe; nataka nchi ya Zimbabwe iwe nchi ya wangwana.” 

4) Hapendi kushindwa 
Alipokuwa kijana, Mugabe alikuwa mmakinifu na mzuri kabisa katika mchezo wa tennis,” alisema aliyekuwa mwalimu katika shule ya Wakatoliki alikosomea Mugabe. Ila, aliposhindwa katika mchezo huo, aliitupa raketi yake chini kwa hasira. 

Mugabe amekiri kuwa hakuwa mzuri katika mchezo wa kandanda alipokuwa mdogo, ila kwa sasa, anapenda kuutazama mchezo huo.
Yeye ni shabiki wa vilabu vya Chelsea na Barcelona vilivyoko Uingereza na Uhispania mtawalia. “ Ninapotazama kandanda, sitaki usumbufu kutoka kwa mtu yeyote,” alisema mwaka wa 2012. “Hata mke wangu anajua mahala pa kukaa wakati wanapofunga bao uwanjani, hata mimi pia hufunga bao kwangu kwa kupiga mateke vitu vyovyote vilivyoko mbele yangu.” 

5) Alipata mtoto akiwa miaka 73 
Ana watoto watatu na mke wake wa pili, Grace Marufu, aliyekuwa karani wake. Mtoto wao wa tatu alizaliwa 1997, mwaka mmoja baada ya wao kufunga ndoa.
Mwanawe wa kwanza, Nhamodzenyika, alikufa kutokana na Malaria akiwa miaka mitatu bado wakiwa Ghana. Bw. Mugabe alinyimwa ruhusa ya kuenda Accra kuungana na mkewe kwa mazishi ya mwanawe, kwani alikuwa mfungwa wa kisiasa wa serikali ya enzi hiyo ya Rhodesia. 

6) Anampenda Cliff Richard kuliko Bob Marley 
Mwanasiasa wa Zimbabwe ambaye kwa sasa ni hayati, Edgar Tekere, alimwambia mwandishi wa BBC, Brian Hungwe, kuwa alipokuwa akitayarisha kadhia ya kusherehekea uhuru wa Zimbabwe 1980, Bw. Mugabe hakumtaka muimbaji Bob Marley aalikwe kutumbuiza watu, ila alimtaka muimbaji maarufu wa Uingereza, Cliff Richard. Pia anampenda Muimbaji, Jim Reeves.
Mugabe anawachukia sana wanamitindo wa rasta, na waimbaji wa mitindo ya reggae. Aliwaonya vijana wa Zimbabwe: “ Nchini Jamaica, wana uhuru wa kutumia bhangi, na wanaume huwa wakati wote wamelewa. Hawataki kuenda shule; wanataka tu kuimba, na kufuga rasta. Kama Zimbabwe, tusielekee hapo.” 

7) Mvaaji wa nguo maridadi 
Anapenda sana suti zinazoutosha mwili wake visawasawa na tai zinazofanana na kitambaa. Hwavutia sana wanamitindo nchini Zimbabwe kwa mavazi yake. Ila, mwanamitindo ambaye humshonea nguo zake ,Khalil Parbhoo anasema: “Bado huavlia kama mabwana wa Uingereza –hivyo ndivyo anavyopenda." 

8) Anamtzama Kwame Nkrumah kama kielelezo kwake 
Bw. Mugabe alipata azma ya siasa akiwa Ghana alipokuwa mwalimu; mahali alipokutana na mke wake wa kwanza, Sally Hayfron. 

Aliporudi Zimbabwe, aliwaambia wananchi jinsi Ghana ilivyojinyakulia uhuru na jinsi uhuru ni kitu kizuri. Katika mahojiano mwaka 2003, Mugabe alisema: “Niliwaambia pia kuhusu Kwame Nkrumah jinsi alivyojitolea na kuiongoza Ghana kupata uhuru;Kwame aliwaambia wananchi wa Ghana kuwa Ghana haingekuwa nchi huru bila ya jitihada na kujitolea kwa kila mtu.”

9) Ni mtu mwenye shahada nyingi 
Kwa jumla, Mugabe ana shahada saba. Digrii yake ya kwanza ni kutoka katika chuo kikuu cha Fort Hare kilichoko Afrika Kusini. Alisomea digrii zake zingine kwa njia Internet-mbili akiwa gerezani-shahada hizo ni za: elimu, sayansi, sheria na usimamizi.

Amejitapa kuwa na “shahada katika ujuhula” alipokuwa akivionya vyama vya kutetea haki za wafanyakazi nchini Zimbabwe 1998 kila vilipotishia kugoma.

HUYU ANAWEZA AKAWA MTU WA KWANZA MWEUSI KUMILIKI KLABU YA SOKA ULAYA

Raia wa Senegale, Ibrahima Iyane Thiam  ameteuliwa kama kiongozi wa timu ya soka Korona Kielce ya nchini Poland huku akiweka rikodi kama raia wa kwanza kutoka Senegale kumiliki timu ya soka nchini hapo.
Hakika raisi wa zamani wa klabu ya Poland,  Wojcieck Lubawski ameuza 75% ya hisa zake kwa Ibrahima Iyane Thiam ambaye amekuwa tajiri wa kwanza wa klabu hiyo.

Tuwakumbushe kuwa Thiam, tayari ameanzisha shule la soka mjini Matam, kaskatini mwa Senegal. Shule hiyo ya Soka inaitwa Noyau sportif Football Club/NSFC Iyane.
Ibrahima Iyane Thiam mwenyewe

Msanii wa kundi la Weusi, Lord Eyes ambaye pia zamani alikuwa mpenzi wa Ray C amesema ana muda mrefu hajaonana na Ray C

Ray-C-and-Lord-Eyez 
Rapa huyo mwenye makazi yake mkoani Arusha, amesema anamuombea mwanadada huyo kwani kwa matatizo aliyonayo ni kama maradhi hivyo hayaponi kwa siku moja. 
“Sijakutana naye wala hatuongei ila namuombea Mungu kwani tatizo lile ni kama maradhi mengine hivyo haliwezi kuisha kwa mara moja linachukua muda, anahitaji maombezi na mimi namuombea kama navyojiombea mimi nifanye kazi zikamilike tukutane kwenye show huko” Lord Eyez alikiambia kipindi cha Enewz cha Eatv.
Pia Lord Eyez amesema bado anaona Ray C ana nafasi ya kufanya vizuri kwenye muziki kwa kuwa hakuna msanii kwenye muziki anayefanya muziki wa aina yake.
“Leo hii kwenye muziki hatumuoni mtu kama Ray C, mpaka sasa hakuna mtu kama Ray C hivyo chumba chake kwenye muziki bado kipo kinamsubiri arudi tu,” alisema Lord Eyez.

JIFUNZE SEX STYLES ZA KUPEANA RAHA NA UTAMU ZAIDI NA MKE WAKO AMA MUMEO KUPORESHA PENZI.


man woman sex flirting 

G-WHIZ
 
G-WHIZ 

Jinsi Ya Kujipanga. 

Mwanamke alale chali(uso,matiti na kila kitu viangalie juu),kisha Mwanaume apige magoti mbele yake,baada ya hapo,mwanamke aweke miguu yake kwenye mabega ya mwanaume(kama inavyoonekana kwenye picha),unaweza kuweka mto(pillow) chini ya makalio ya mwanamke awe more comfortable and relaxed.


Faida za Hii Style 
Mwanamke akiweka miguu juu ya mabega ya mwanaume wakati wa kupeana Raha na Utamu,kuna faida mbili mtaenjoy,ya Kwanza, mashine ya mwanamme na uke wa mwanamke zote zinakuwa katika level sawa,hii inasaidia mashine ya mwanaume kuisugua vizuri G-spot,na Pili Uke wa mwanamke unajibana kidogo,ikijibana inaongezeka kuwa tight,na kufanya starehe ya tendo kuzidi


Maujanja Zaidi. 
Mwanaume inabidi ashikilie makalio ya mwanamke,akipump kuelekea juu ili aweze kuilenga vizuri G-spot 
G-Whiz 

How? 
You lie back with your legs resting on each of his shoulders. 
Benefit.


When you raise your legs, it narrows the vagina and helps target your G-spot. 


Bonus 
Ask him to start rocking you in a side-to-side or up-and-down motion. That should bring his penis into direct contact with your G-spot. 


FACE-OFF

 
FACE-OFF 
Jinsi Ya Kujipanga. 

Mwanaume akae juu ya kiti au pembeni ya kitanda(kama inavyoonekana hapo kwenye picha juu),mwanamke aje akae juu yake(kama inavyoonyesha kwenye picha hapo juu).



Faida Za Hii Style 
Mwanamke anakuwa ana uwezo wa kucontrol kila kitu, spidi itakayotumika na mashine iingie ndani ya uke kiasi gani na pia ni style nzuri kwa wale ambao wanapenda kupeana Raha na Utamu kwa Spidi kubwa, mwanamke hawezi kuchoka haraka kwa kuwa anapata balance na support ya kutosha.


Maujanja Zaidi. 
haina ulazima wala haja ya kuongea sana,vidole na mikono yako ndo vinatakiwa viwe busy kutomasa,kupapasa na kushikashika sehemu zote zitakazoongeza Raha na Utamu katika tendo.


FACE-OFF 
How ?. 

He sits on a chair or the edge of the bed; you face him, seated on his lap. 

Benefit 
You’re in control of the angle and depth of the entry and thrust. Being seated provides support, so it’s great for marathon sex. 

Bonus 
Let your fingers (and hands) to the talking. Once seated, you can put your hands anywhere on your body or his to make things more interesting. 


COWGIRL

 
Jinsi Ya Kujipanga 
Mwanamke apige magoti juu ya mwanaume usawa wa mashine ya mwanaume(kama inavyoonyesha kwenye picha),then aikalie taratibu,anaweza kupata balance either kwa kuegemea na kuweka mikono yake juu ya kifua cha mwanaume au juu ya magoti ya mwanaume.



Kisha aanze kwenda juu na chini,itafika muda atachoka,badala ya kubadili style au kutulia kidogo kwa sekunde kadhaa(apate nguvu ya kuendelea),inashauriwa utumie muda huo wa kupumzika kidogo(may b sekunde 10 au 15) kwa kumshika shika na kumtomasa mwanaume kifuani, zungusha kiuno taratibu huku ukiongea maneno ya kimahaba sana, endeleeni kufanya hivi mpaka wote mfike kileleni (orgasm), au mkitosheka mnaweza kubadili style.

Faida Za Hii Style. 
Ni style ambayo Mwanamke anakuwa anacontrol kila kitu,yeye ndo anajua ajiweke kwenye angle ipi ili mashine iweze kusugua sehemu zipi ndani ya uke wake ili aweze kufika kileleni kwa urahisi zaidi,ni style ya pekee ambayo inawafanya wanawake wengi wafike kileleni(orgasm) bila matatizo.


Maujanja Ya Ziada. 
Raha na Utamu wa hii style utaongezeka zaidi kama mikono ya mwanaume ikiwa busy ikishikashika,ikitomasa na kupapasa makalio,hips,kiuno na sehemu yeyote ambayo anaweza kuifikia kiurahisi. 


How ?. 
Similar to the popular Cowgirl position, you kneel on top of him, pushing off his chest and sliding up and down his thighs. But he helps by supporting some of your weight and grabbing your hips or thighs while he rises to meet each thrust. 

Benefit 
Less stress on your legs, making climaxing easier. Plus, female-dominant positions delay his climax, so everyone wins. 

Bonus 
Alternate between shallow and deep thrusting to stimulate different parts of the vagina.


LEAP FROG

 
Jinsi Ya Kujipanga 
Hii ni Doggy-style iliyoboreshwa,mwanamke akiwa kitandani,ainame halafu hips na makalio yake ainue juu huku mikono na kichwa chake avilaze juu ya mto(kama inavyoonekana kwenye Picha hapo juu),kuna haja jamani ya kusema mwanaume akae wapi? hehehe.


Faida Ya Hii Style 
Hii style inatengeneza mazingira ya kuruhusu mashine ya mwanaume iweze kuingia ndani zaidi kadri apendavyo,na mwanamke anapata nafasi ya kupumzisha kichwa chake juu ya mto(kidogo anarelax huku akienjoy raha na utamu).


Maujanja Ya Ziada 
Ili kuongeza Raha na Utamu zaidi, mwanamke atumie mkono wake kujisugua (clitoris).


How ?. 
This is a modified doggy-style. Get on your hands and knees, then, keeping hips raised, rest your head and arms on the bed. 

Benefit 
Creates deeper penetration—and gives you a chance to rest on a pillow. 

Bonus .
Use your hands to stimulate your clitoris. 
BALLET DANCER


Jinsi Ya Kujipanga 
Mwanamke na Mwanaume wote wasimame,kisha Mwanamke ainue mguu wake wa kulia auweke kwenye kiuno cha mwanaume,mwanaume aushikilie mguu wa mwanamke aliouinua ili kumpa balance. 

Faida Za Hii Style 
Hii Style inaruhusu na inawapa nafasi ya kuangaliana uso kwa uso huku mkipeana Raha na Utamu kitu ambacho kinasaidia sana kuwaunganisha kihisia na kimwili pia 

Maujanja ya Ziada 
Kama mwanamke yupo flexible anaweza kuuweka mguu begani badala ya kiunoni kwa ajili ya kuipa nafasi mashine iingie ndani zaid.


How ?. 
Standing on one foot, face your guy and wrap your other leg around his waist while he helps support you. 

Benefit 
Allows for quality face time and connecting. 

Bonus 
If you’re a Flexi Lexie, try putting the raised leg on his shoulder for even deeper penetration. 

FLATIRON
 
FLATIRON 

Jinsi Ya Kujipanga 
Mwanamke alale kitandani uso ukiangalia chini makalio yaangalie juu, asisahau kubinua nyonga/makalio juu kidogo(kama mvivu kidogo aweke mto(pillow) chini ya kinena),kujibinua kwake kutaongeza raha na utamu zaidi 

Faida Za Hii Style 
Mwanamke anapata nafasi ya kuenjoy Raha na Utamu akiwa amerelax,na kwakuwa miili inakuwa imebanana sana,mashine ya mwanaume itaonekana kubwa kidogo 

Maujanja Ya Ziada 
Mwanaume awe anapump taratibu kwa juu sio lazima sana aingie deep,akumbuke kuhema vizuri asije akachoka haraka 
 

FLATIRON How ?. 
You lie face down on the bed, legs straight, hips slightly raised. 

Benefit 
This position creates a snug fit. Your guy’s stuff will seem even larger.